NiKao

Faragha

NiKao inalenga kutumia taarifa kwa madhumuni yanayoeleweka ya kuendesha accounts, campaigns, leads, integrations na performance measurement.

Taarifa za account

Tunaweza kuhifadhi taarifa zinazohitajika kufungua na kulinda account, kama jina la biashara, user details na contact information.

Campaign na performance data

Campaign settings, budgets, audiences, creatives, clicks, leads na conversions zinaweza kutumika kuendesha na kuboresha huduma.

Integrations

NiKao itatumia integrations ambazo business imeidhinisha. Access ya integration itadhibitiwa kulingana na permissions zinazohitajika.

Usalama

Tunajenga controls za authentication, access permissions, logging na tenant isolation ili kupunguza access isiyoidhinishwa.

Udhibiti wa taarifa

Businesses zitaweza kusimamia users, permissions, integrations na taarifa zinazohusishwa na workspace yao kulingana na features zinazopatikana.

Connected accounts na third parties

NiKao inaweza kushirikiana na advertising, messaging, analytics, payments, infrastructure na AI providers ili kutoa features zilizoidhinishwa na user. Taarifa itatumika kulingana na feature, permission na integration husika.

Retention na deletion

NiKao inalenga kuhifadhi taarifa kwa muda unaohitajika kuendesha huduma, kulinda platform, kutimiza wajibu wa kisheria au kutatua disputes. Users wanaweza kuomba account au taarifa zao zifutwe kupitia ukurasa wa Data Deletion.

← Back to Home